Joel Nanauka
Jinsi Ya Kufanikiwa Katikati Ya Nyakati Ngumu
Ni kweli kwamba kila janga linawakilisha hatari na hasara lakini pia ni kweli kwamba kuna fursa muhimu kila wakati janga linapotokea. Vipindi vigumu vya majanga vimefanyiwa uchunguzi na utafiti, na imethibitishwa kwamba kuna kanuni ambazo zinawasaidia baadhi ya watu kuibuka kuwa washindi.
Contact Information
Fields marked with * are mandatory
Order Summary
Total:
TSH: 4,000.00

Unapitia magumu kiasi kwamba huoni pakutokea, Unawaza na kuwazua lakini wapi mambo hayaendi, na wewe ndio kiongozi na kila mmoja anakuangalia wewe.

Ukweli ni kwamba kwenye kila nyakati ngumu kuna wanaoibuka washindi na wanaofeli.

Nataka Uibuke mshindi, ndio maana nimekuandalia eBook hii.

eBook Hii Imewasaidia Viongozi wengi wao pamoja na washirika wao kuibuka washindi katika nyakati ngumu.

Nini utajifunza ndani na eBook Hii:

Ukae kundi gani baada ya janga kutokoea, yapo makundi mawili makubwa

Jinsi ya kutumia fursa na faida zinazoletwa na janga

Miongozo 5 unayotakiwa kufuata ili uhakikishe unapata ushindi wakati wa majanga.

Namna gani unatakiwa kupambana na janga, hasa kama kiongozi.