Kukosa elimu ya fedha kunaweza kupelekea kutumia vibaya fedha uliyonayo, na mwisho wa siku ukajifuka unatumbukia kwenye madeni yasiyo isha.
Ndio maana nimekuandikia eBook hii ili uweze kupata elimu hii hadimu kuhusu fedha.
eBook Hii Imewasaidia Mamia Ya Watu Kufikia Malengo Yao Ya Kifedha 2020.
Hauko tayari kuanza kujifunza Mambo muhimu kuhusu fedha ili uweze kufikia malengo ya kifedha?
Ndani ya hichi kitabu Nitazungumzia mbinu ambazo zinafanya kazi na ambazo unaweza kuanza kuzifanyia kazi na ukapata matokeo.
Hamna haja ya wewe kuendelea kupoteza fedha na muda wako kujaribu kufanya vitu pasipo maarifa sahihi na kubaki ukijiuliza niniufanye.
Nini utajifunza ndani na eBook Hii:
Namna Ya Kujenga Mtazamo Na Ufahamu Chanya Kuhusu Fedha
Kanuni Ya Dhahabu Ya Mafanikio Ya Kifedha.
Pesa Zako Huwa Zinakwenda Wapi?
Namna Ya Kukabiliana Na Mawazo Yasiyo Sahihi Juu Ya Pesa
Sheria Za Fedha.
Wanafunzi Wanasema Nini:
@Leonardpilimini0110 Money Formula kimenisaidia sana kupanga malengo yangu na kwa sasa mambo yanenda shwali kabisa.
@Abbylightness Money Formula kimenisaidia sana kuwa na nidhamu ya fedha, kuweka akiba hata nikipata kidogo lazima nijilipe kwanza.