Joel Nanauka
Core Genius
Mungu alipokuleta duniani, alihakikisha kuwa ameweka uwezo wa kipekee sana ambao mara tu utakapougundua na kuanza kuufanyia kazi utakuletea matokeo makubwa sana. Watu wengi, wanazaliwa na hadi wanaondoka duniani hawajajua uwezo huu wa kipekee uliojificha ndani yao na matokeo yake wanaishia kuwa watu wa kawaida sana.
Contact Information
Fields marked with * are mandatory
Order Summary
Total:
TSH: 6,000.00

Unafanya kazi usiyoipenda?, Unasoma kozi/masomo usiyoyapenda?. Wengi wamejikuta wakiishi maisha wasiyoyapenda kutokana na kutokujua uwezo wao wa kipekee.

Ndio maana nimekuandikia eBook hii ili uujue uwezo wa kipekee na uanze kuutumia.

eBook Hii Imewasaidia Mamia Ya Watu kuweza kujua uwezo wao wa kipekee na kuufanyia kazi.

Nini utajifunza ndani na eBook Hii:

Jinsi ya kulijua eneo ambalo wewe ni Genius katika maisha yako.

Vigezo vya kutumia kuijua “Core Genius” yako.

Aina 8 Za “Core Genius”