Mauzo yameshuka? Wateja wanauliza bei kisha ndo jiii huwasikii tena? Biashara haiendi? Bila kuijua saikolojia ya mteja huwezi kufunga mauzo ya biashara yako vizuri.
Ndio maana nimekuandikia eBook ya Saikolojia ya Mteja ili uongeze mauzo baada ya kujua mambomuhimu kuhusu wateja wako na namna ya kuwashawishi wanunue bidhaa zako.
eBook Hii Imewasaidia Wafanyabiashara wengi kuongeza mauzo ya bidhaa/huduma zao.
Nini utajifunza ndani na eBook Hii:
Hatua 5 Anazopitia Mteja Kabla Hajanunua Bidhaa / Huduma yako.
Mambo 3 Ambayo Mteja Anahitaji Kutoka Kwa Mfanyabiashara.
Vitu 9 Vinavyomsukuma Mteja Kununua Bidhaa / Huduma Yako.
Aina 10 Za Wateja na Namna Ya Kuwahudumia.
Hatua 5 za Kukabiliana na Malalamiko Ya Mteja.