Joel Nanauka
Hatua 6 Za Kujiajiri
Moja ya swali ambalo nimeulizwa mara nyingi sana kila ninapofundisha watu ni “Uliwezaje kuacha kazi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa na kuanza kujiajiri?”.
Contact Information
Fields marked with * are mandatory
Order Summary
Total:
TSH: 7,000.00

eBook Hii Imewasaidia Mamia Ya Watu Kuweza Kujiajiri.

Hauko tayari kuanza kujifunza Mambo muhimu kuhusu fedha ili uweze kufikia malengo ya kifedha?

Ndani ya hichi kitabu Nitazungumzia mbinu ambazo zinafanya kazi na ambazo unaweza kuanza kuzifanyia kazi na ukapata matokeo. Hamna haja ya wewe kuendelea kupoteza fedha na muda wako kujaribu kufanya vitu pasipo maarifa sahihi na kubaki ukijiuliza niniufanye.

Nini utajifunza ndani na eBook Hii: Golden Circle: Mahali Pakuanzia.

Sababu 7 Zinazofanya Watu Watake Kujiajiri: Wewe yako ni ipi?

Jinsi Ya Kuipata "Master Key Yako" Ili Uanze Kujiajiri

Maeneo 4 Ya Kutengeneza Pesa Kwa Haraka Unapoanza Kujiajiri

Mambo 7 Yanayowafelisha Wengi Wanapoamua Kujiajiri.

Jiajiri Blue Print