Joel Nanauka
Namna Ya Kuondokana Na Madeni
Niliwahi kuwa na rafiki yangu wa karibu sana ambaye alikuwa na malengo makubwa sana ya kufanikiwa kifedha katika maisha yake. Kutokana na ukubwa wa malengo ambayo alikuwa nayo, hakuwa mtu mwenye uoga katika kuchukua hatua. Aliamua kujiingiza kwenye biashara na ili kukuza mtaji wake alianza kukopa.
Contact Information
Fields marked with * are mandatory
Order Summary
Total:
TSH: 4,000.00

Madeni yamekukwamisha kufikia malengo yako?, Yameenda mbali na kukusababisha kupoteza hata yale maendeleo uliyokwisha kuyapata?

Umefikia mahali simu yako mwenyewe lakini unaogopa kupokea namba ngeni?

Pole sana, Usiwe na hofu, eBook hii itakusaidia kupata maarifa sahihi kuhusu namna ya kuondokana na changamoto hiyo.

Dalili 4 Kubwa Ambazo Usipozijua Utashindwa Kutoka Kwenye Madeni.

Jinsi Ya Kujitathmini Hali Yako, Ili Ujue Wapi Ulikosea, Na Usikosee Tena.

Namna Sahihi Ya Kuweka Vipaumbele Ili Utoke Kwenye Madeni Uliyonayo

Mambo 3 Muhimu Ya Kuongea Na Wadeni Wako Ili Uweze Kumaliza Madeni Yako Kwa Haraka

Maeneo 3 Ya Kuyabadilisha Haraka Ili Utoke Kwenye Madeni (Ukurasa wa 27)

Maswali 7 Muhimu Ya Kujiuliza Kabla Ya Kukopa Tena Ili Usiingie Kwenye Mtego Wa Madeni Mengine.

Vifungo 6 Vikubwa Vyakuepuka, Ambao Hawakuviepuka Waliishia Kwenye Madeni Yasiyoisha.