Joel Nanauka
Muongozo wa Mafanikio
Kupitia program maalumu ya mafunzo kwa njia ya mtandao, watu wengi sana wamebadilisha maisha yao. Shuhuda nyingi ambazo zimetolewa na watu mbalimbali ni ushahidi tosha kuwa mafunzo haya yamewabadilisha sana.
Contact Information
Fields marked with * are mandatory
Order Summary
Total:
TSH: 4,000.00

Unatamani kufika sehemu flani lakini unaona mambo hayaendi?, Kuna kilele flani cha mafanikio unatamanani kukifikia lakini vitu havisogei.

eBook hii ndio suluhisho la changamoto zako.

Nini utajifunza ndani na eBook Hii:

Jinsi kujenga mtandao wa watu kimkakati na kuwa na mahusiano bora.

Namna ya kutambua hatua za kukamilisha ndoto yako.

Jinsi ya kuanza upya na kujitofautisha.

Kuanza na wazo dogo, fedha kidogo ili kujenga mafanikio makubwa.