Joel Nanauka
Mbinu za Kujenga Ujasiri Na Kujiamini
Moja ya sentensi muhimu niliyowahi kuambiwa kwenye maisha yangu ni ile inayosema, kuna watu ambao sifa na uwezo wao ni mdogo kuliko wewe na wanafanya vitu ambavyo unatamani kuvifanya kwa sababu tu wameamua kujiamini (there are people less qualified than you, doing the things you want to do, simply because they decide to believe in themselves ).
Contact Information
Fields marked with * are mandatory
Order Summary
Total:
TSH: 4,000.00

Mbinu Za Kuongeza Ujasiri Na Kujiamini.

Unakosa ujasiri unaposimama mbele za watu, unashindwa kuongea vidole vinatokwa jasho?, kila unachotaka kufanya unaogopa, unasikia kukata tamaa. Unaona huwezi kufikia malengo yako?

Ndio maana nimekuandikia eBook Ya Mbinu Za Kuongeza Ujasiri Na Kujiamini ili uongeze ujasiri wako na kujiamini.

Nini utajifunza ndani na eBook Hii:

Jinsi ya Kujenga hali ya Kujiamini.

Hatua Muhimu unazotakiwa kuzichukua ili Kuwa na Ujasiri wa kudumu.

Jinsi ya Kupata Matokeo Kati kati ya Hofu.

Jinsi ya Kushinda Hofu inayoua Ujasiri wako.

Jinsi ya kuamua Kuwa tofauti.