Navigate / search

Wabunge waliochangia Sana na waliochangia Kidogo-Orodha hii inatoa ujumbe gani?

bungekatiba

Tangu kuanza kwa bunge la mwaka 2005 hadi 2010,ifuatayo ni orodha ya wabunge waliochangia sana na wale ambao walichangia kidogo sana.Unapoisoma orodha unaweza kutafakari somo tunalojifunza kuhusiana na kile wanachofanya wawakilshi wetu.Orodha hiyo ni:

WABUNGE 10 WALIOCHANGIA ZAIDI BUNGENI 2010 HADI 2015.

1: John Mnyika HOJA 540 na Maswali 68.
2: Tundu Lissu HOJA 270 na Maswali 32
3: Moses Machali HOJA 214 na Maswali 91
4: Halima Mdee HOJA 175 na Maswali 43
5: Felix Mkosamali HOJA 151 Maswal 63
6: Zitto Kabwe HOJA 147 Maswali 62
7: Seleman Jaffo HOJA 141 Maswali 52
8: Leticia Nyerere HOJA 139 na Maswali 83
9: Murtaza Mangungu HOJA 131 Maswal 100.
10: Diana Chilolo HOJA 116 Maswali 107.

WABUNGE 10 WALIOCHANGIA KIDOGO 2010 hadi 2015.
1: Turky Hasan HOJA 9 swali 1
2: Hamis Alli Kheir HOJA 8 maswali 0
3: Mwanahamis Kasim HOJA 7 swali 1
4: Ali Haji Juma HOJA 4 Maswali 2
5: Edward Lowassa HOJA 5 Maswali 0
6: Mohamed Seif Khatib HOJA 5 Maswali 0
7: Kisyeri Chambiri HOJA 4 Maswali 0
8: Godfrey Mgimwa HOJA 2 Maswali 3
9: Balozi Seif Ali Idd HOJA 0 Maswali 0
10: Mohamedi Saidi HOJA O Maswali 0

 

Je umejifunza nini kutokana na Orodha hii?

 

 

Leave a comment

name*

email* (not published)

website