Navigate / search

Vijana Wapatiwa Mafunzo bure ya Jinsi Ya Kupanga Malengo Ya Mwaka na Namna Ya Kuyafikia

DSC_0205
DSC_0208
DSC_0216
DSC_0224

Kila Mwisho wa Mwezi Vijana wamekuwa wakipatiwa mafunzo ya Bure ya aina Mbalimbali ili kuwawezesha kufanikiwa katika ndoto na Mipango yao ya kila Mwaka.Mwezi uliopita(Jan 2016) vijana wamefundishwa kuhusu namna ya kupanga malengo yao mbalimbali ili kufanikiwa.Mkufunzi Mkuu alikuwa Eng.Timothy Kyara lakini pia walitiwa Hamasa na Ebrahim,Kijana aliyefanikiwa kupitia ujasiriamali akianzia chini kabisa.

Mwezi wa Pili Mafunzo haya yatafanyika tarehe 27 pale GEPF Towers,karibu ubadilishe Maisha Yako.

Leave a comment

name*

email* (not published)

website