Navigate / search

MENTORSHIP PROGRAM imezindua AJIRA VENTURE CAPITAL

Baada ya Uzinduzi wa Kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO Na Joel Nanauka, MENTORSHIP PROGRAM imezindua AJIRA VENTURE CAPITAL mpango maalum wa kuwezesha Vijana wajasiriamali wenye wazo la Biashara kupata mtaji usio na masharti ili kutimiza ndoto zao kwa kufanya Biashara.

Una wazo la biashara au mradi unaohitaji mtaji kati ya milioni 1 hadi 5? Una biashara unayohitaji kuitanua zaidi? Una mradi na unahitaji mtaji zaidi? Unaweza kuwa kati ya WASHINDI 10.

Tuma BUSINESS PLAN (MPANGO WA BIASHARA) kwenda ajira@mentorship.co.tz  0712056050 kwa maelezo zaidi. Mwisho wa kutuma ni tar 20 Novemba 2016.

See You At The Top

Leave a comment

name*

email* (not published)

website