Navigate / search

Mambo 4 Yaliyomsaidia Kila Mtu Aliyefanikiwa

12718336_1209540035742006_6224928728146450975_n

Kuna mambo mengi usipoyajua maishani huwa ni chanzo kikubwa sana cha kufeli kwako.Leo nataka nikushirikishe mambo ambayo waliyofanikiwa wananyajua na wasiofanikiwa hawayajui na huleta tofauti kubwa sana.

1)Lazima ubobee Kwenye jambo fulani(Specialisation).

Amua kuwa na ujuzi na uwezo wa kipekee katika eneo fulani la maisha yako.

2)Lazima ufanye kitu cha tofauti(Differentiation).

Amua kufanya Kitu ambacho aidha hakifanyiki au ukifanye kwa njia tofauti.Lazima kuwe na utofauti kati ya unachofanya(what) au unavyofanya(How) na wengine.

3)Lazima uamue unataka kuwafikia watu wa namna gani(segmentation).

Amua unachofanya,unachouza unalenga kundi gani la watu.

4)Lazima uwekeze nguvu zote na muda wote Kwenye jambo hilo(Concentration).

Usitapanye muda au nguvu zako kwa mambo mengine, jikite kufanya ulichoamua.

Tembelea zaidi ukurasa wangu awfacebook ujifunze Zaidi.NDOTO yako inawezekana.

Tafadhali niambie,Je ukakosa funguo ngapi kati ya hizi?

See You At The Top

Leave a comment

name*

email* (not published)

website