Navigate / search

Mambo 4 Ya Kukusaidia Kushinda Kila Changamoto

smiling-blackgirl

Kwenye hatua za maisha kuna changamoto nyingi sana na nimejifunza kuwa hata wale wanaoonekana ni hodari na imara sana na Unatamani kuwa kama wao huwa wanapitia magumu makubwa kuliko unavyoweza kufikiria.Wengi huwa wanalia in “private” ila wakitoka “public” huwa wanacheka.

Kumbuka kuwa Greatnes isn’t defined by being MORE STONGER than everyone but by your willingness to persevere ABOVE everyone.Ukuu wako haupo katika kuwa na nguvu kuliko mtu yoyote bali uko katika uwezo wako wa kuvumilia kuliko mtu mwingine yeyote unapopitia katika matatizo.

Utofauti ya wanaoshindwa na wanaoshinda Kwenye maisha haupo Kwenye mambo gani yanayowatokea bali upo Kwenye jinsi gani wanakabiliana na yale yanayowatokea. Jambo moja linaweza kuwatokea watu wawili lakini wakapata matokeo tofauti.

1)Wanaoshinda huamini kuwa kila changamoto wanayopitia iko ndani ya uwezo wao kuikabili,wataishinda.

2)Kila baya au gumu unalopitia sasa ukikabiliana nalo vizuri litageuka kuwa fursa.

3)Hakuna tatizo jipya maishani kila unachopitia kuna mtu alipitia na akashinda nawe unaweza kushinda pia.

4)Kila changamoto huwa si ya Milele ni ya muda mfupi tu,itapita.

KWENYE KILA CHANGAMOTO KUNA MLANGO WA KUTOKEA,DON’T GIVE UP!!!

Amua Leo,Bila Kujali unapitia katika changamoto gani za maisha yako,usipoteze furaha Yako Kamwe.

Kama ujumbe huu umekuwa na faida kwako unaweza kushare na rafiki zako.

Endelea Kutembelea www.JoelNanauka.com Kujifunza Zaidi.

See You At The Top

Leave a comment

name*

email* (not published)

website