Navigate / search

Mambo 5 Yatakayokusaidia Kufanya Malengo Yako Yatimie

bruce-lee-big-boss-47-1024x768

Ukitembelea planet Hollywood New York City utakuta ukutani kuna barua aliyoandika Bruce Lee tarehe 9 January 1970 na aliandika “ikifika mwaka 1980 nitakuwa mmoja wa movie star Marekani na nitapata dola milioni 10 na ili Kufanikiwa hilo nitajitahidi kila movie nitakayoigiza nitafanya kwa kiwango cha juu sana”
Baada ya hapo Bruce Lee alifanya movie 3 na mojawapo ilitolewa mwaka 1973 ambayo ilitolewa mwaka huohuo ambao alifariki akiwa na miaka 33.Ingawa alifariki mafanikio ya movie ilikuwa zaidi ya ile dola milioni 10 aliyokuwa ameitamani.

Kila aliyefanikiwa amejulikana kwa kuwa mtu aliyeweka Read more

Mafanikio Huanza Kuja Baada Ya Kufanya Mambo Haya 3

index

Maisha yako yanategemea sana maamuzi unayoamua kuyafanya kila siku na hatua ambazo huwa unaamua kuzichukua ili kubadilisha mwelekeo.Kati ya vitu unatakiwa kuvijua ni kuwa maisha yako hayataweza kubadilika kama hakuna hatua yoyote ambayo utaamua kuichukua katika kubadilisha hali yako ya sasa.Usikubali kuwa katika mkumbo wa watu wanaofeli ambao wao huwa na dalili zifuatazo:

Moja huwa ni watu ambao Read more

Tabia Moja Itakayoharakisha Mafanikio Yako

images

Kuna jambo linaloweza kuleta tofauti sana katika maisha yako kama utaamua kuanza kuliishi kuanzia leo.Watu wote ambao wameshawahi kufanikiwa katika maisha yao ni watu ambao wamefanya uamuzi kwenye maisha yao kuwa kwa kila kitu wanachopewa kukifanya bila kujali kinawalipa kiasi gani huwa wanakifanya kwa kiwango cha ubora wa hali ya juu sana(commimtment to excellence).

Siku moja nilisikia habari ya kijana mmoja ambaye alikuwa Read more

Aina Hii Ya Maamuzi Ndio Huwafanya Watu Wafanikiwe

index

Kati ya wakurugenzi wanaolipwa pesa nyingi duniani kwa sasa ni Maynard Webb,ambaye baada ya kumaliza chuo cha Florida alijikuta hana kazi kwa muda mrefu sana.Lakini baada ya muda fulani aliamua kukubali kazi ya kuwa mlinzi katika kampuni ya IBM.Leo hii Webb ni mkurugenzi mkuu wa kampuni ya YAHOO duniani.Alipoulizwa siri ya mafanikio yake anasema ni uwezo wa kufanya maamuzi yasiyo ya kawaida na magumu katika maisha(Critical Decision).

Kuna watu wengi leo wako katika wakati ambao wanahitaji kufanya maamuzi ya kubadilisha mwelekeo wa maisha yao.Wengine ni kuhusu kazi wanazofanya sasa,badala ya kuendelea kulalamika ni wakati wa kufanya maamuzi aina ya “critical decision”.Wengine ni maamuzi kuhusu mahusiano yao-Badala ya kuendelea kuumia,kukosa furaha ni wakati wa kufanya maamuzi.Wengine ni kuhusu masomo yao na wengine kuhusu maisha yao ya kiuchumi-Badala ya kuendelea kulalamika hali ngumu na kusubiri mambo yabadilike ni wakati wa kufanya “critical decision”

Kuna watu wengi sana wanalalamika kuhusu kazi wanazofanya lakini miaka nenda rudi wako katika kazi hizohizo huku wakiendelea kulalamika kwa namna ileile.Kuna watu wako kwenye urafiki na watu fulani na imekuwa Read more

Tyler Perry:Historia Ya Maisha Yangu Itakusaidia Kuwa Bilionea Kama mimi

1000509261001_2101689729001_Tyler-Perry-Transition-into-Film

Mwaka 2011 katika gazeti la Forbes lilimtaja Tyler Perry kama mtu anayelipwa pesa nyingi zaidi katika sekta ya usanii na uigizaji.Mwaka 2013 alitoa kiasi cha shilingi dola milioni 1 ili kusaidia ujenzi wa kituo cha vijana kwa Bishop T.D Jakes,Hii ni kuthibitisha kuwa bila ya shaka yoyote ni mtu ambaye amefanikiwa sana.Wakati kila mtu alimsifia na kutaka kuwa kama yeye,Perry alizungumzia historia yake iliyomtoa kila mtu machozi.

Katika utoto wake Tyler Perry alinyanyaswa sana kijinsia na watu waliomlea,akiwa shule ya sekondari alifukuzwa kwa matatizo ya ada na hii ilimpelekea apoteze mwelekeo wa maisha yake kabisa.Katika historia ya maisha yake Perry ameshawahi kujaribu kujiua mara mbili na mara ya mwisho Read more

Thom Packets:Hii Ndio Sauti Ya Mafanikio Unayotakiwa Kuisikiliza

homeless-in-car-634x330

Thom Packets alifanikiwa kuwa tajiri sana akiwa bado hajafikisha miaka 50,alikuwa na mali nyingi na alijulikana sehemu mbalimbali kama mfanyabishara mkubwa sana wa kizazi chake.Bahati mbaya sana alipofika takribani miaka 55 ilitokea bahati mbaya mtu mmoja alikutwa amekufa ofisini kwake na akafunguliwa kesi.Kesi ile ilikuwa mbaya sana na Thom alkitakiwa kulipa pesa nyingi sana zaidi ya dola laki saba na hamsini na gharama kadhaa.

Na katika kipindi hichohicho Read more

Mambo Mawili Muhimu Ya Kuyajua Kama Unataka Kufanikiwa

habits-of-successful-people

Katika kufuatilia maisha ya kila aliyefanikiwa siku zote nimekutana na mikasa ambayo walishwahi kukutana nayo ya kufeli,kukatisha tamaa ama kuonyesha kuwa kile walichokuwa wanakiamini siku zote hakitaweza tena kutokea katika maisha yao.Hata hivyo tofauti yao na wale wanaofeli ni kuwa,watu wa namna hii siku zote walikataa kabisa kukaa chini baada ya kuanguka au baada ya kushindwa kufikia malengo yao.

Ningependa nikukumbushe maneno ya Winston Churchill aliyewahi kusema, “Success is stumbling from failure to failure with no loss of enthusiasm.” Akimanisha mafanikio ni kuvuka kutoka kushindwa hadi kushindwa bila kupoteza hamasa ya mafanikio unayoyatafuta.Siku zote katika maisha yako kumbuka kuwa kuna watu wa aina mbili:

Moja ni watu ambao Read more

Sam Adeyemi:Jinsi Kukosa Fursa Kulivyomfanya Kuwa Bilionea

maxresdefault

Kama walivyo vijana wengi wa kiafrika,na yeye baada ya kumaliza masomo yake ya chuo kikuu miaka ya 90 aliamua kuanza kutafuta nafasi za kwenda kusoma nje ya nchi akiamini kuwa huko kuna maisha mazuri sana.Kama bahati nzuri alipata kufahamiana na tajiri mmoja ambaye alikuwa anamiliki shirika la usafirishaji la ndege na tajiri huyo alikuwa na uhusiano wa karibu sana na ubalozi wa uingereza,hivyo ilikuwa ni jambo rahisi kwake kumtafutia kijana huyu viza bila matatizo yoyote.

Hata hivyo wiki chache kabla ya safari Read more

Siri Ya Mafanikio Toka Kwa Rubani Mwenye Miaka 20

Kalenga

Kuna watu wengi sana ambao huwa wanafikiri kuwa mafanikio yao yatatokea wakishafikisha umri fulani.Hawa ndio wale aina ya watu ambao kila siku ukikutana nao wanakupa stori za kuwa kuna mipango mikubwa sana ambayo wanaipanga kuifanya kesho wakishakuwa wakubwa zaidi.

Mwaka jana kijana wa Zambia Kalenga Kamwendo alifanikiwa kuwa rubani(first officer) mwenye umri mdogo kabisa nchini humo akiwa na umri wa miaka 20.Hata hivyo mwaka huu Read more

Njia 5 za Kutumia ili Kupata Wazo La Biashara Litakalokufanikisha

a businessman relaxing in the chair of his office with his hands behind his head

Habari za wakati huu,ningependa kuanza na msemo toka wa swami vibekananda aliyenena “Take up one idea. Make that one idea your life. Think of it, dream of it, live on that idea. Let the brain, muscles, nerves, every part of your body, be full of that idea, and just leave every other idea alone. This is the way to success. That is way great spiritual giants are produced.”Akimaanisha kama utaamua kuchukua idea/wazo moja na kuliwaza,kulitafakari na kuwa ndio kitu cha muhimu kwako,basi mwisho wa siku utafanikiwa.Kwa ufupi ni kuwa kila mtu mkubwa duniani alianza na wazo fulani lililomfanikisha.

Kiufupi ni kuwa yeyote ambaye huwa ana Mawazo ya tofauti na yaliyotangulia kuliko wengine huwa anakuwa wa tofauti na atajikuta anapiga hatua kuliko wengine katika field yake.Aidha uwe umeajiriwa,umejiajiri,mfanyabiashara, mwanasiasa ama mwanafunzi ;uwezo wako wa kuja na mawazo ya tofauti ndio kiini na chanzo cha mafanikio yako.

Njia hizo ni Read more