Navigate / search

Sababu Kuu 3 Zinazosababisha Watu Kughairisha Mambo

Takribani 80% huwa wanaacha kuendelea na mipango yao waliyojiwekea baada tu ya miezi mitatu ya kwanza mwaka unapoanza.Hii imewafanya watu wengi sana kujikuta wakiwa na hamasa na shauku kubwa mwaka unapoanza na kujikuta shauku yao ikiishia njiani.Unaweza kujikuta kuwa wewe ni mtu ambaye kila mwaka huwa unaanza mwaka kwa kishindo lakini baada ya muda kidogo tu unajikuta umeshakata tamaa na hauendelei tena na kufuatilia utekelezaji wa malengo yako.
Ili usiwe mmoja wa wale ambao kila wakati huwa wanaghairisha mambo na hujikuta wanaanza upya kila wakati ni lazima ujue sababu zinazowafanya watu wengi kuwa na tabia hiyo na wewe ujigundue huwa unaghairisha mambo kwa sababu zipi na ujue namna ya kujitoa kutoka katika tabia hiyo:
Sababu ya kwanza ni kusubiri kuwa na kitu kikubwa ili waanze kufanya kile ambacho wanataka kukifanya.Tatizo kubwa sana ambalo watu wengi sana limewakwamisha ni tabia ya kusubiri kuwa na vingi.SIku zote kumbuka kuwa hauwezi kuwa na vingi kama vile vichache ambavyo unavyo umeshindwa kuvitumia kwa ufanisi.Siku zote kama wewe utakuwa ni mtu wa kudharau kile kidogo ulichonacho basi hautaweza kupata kikubwa unachokitafuta.Kila wakati jiulize-Hivi katika hiki kidogo nilichonacho nitaweza kuanza Read more

Jinsi Ya Kutoka Kwenye Madeni

Mwezi Februari mwaka 2008 katika kipindi cha mtangazaji maarufu sana Oprah Winfrey alihojiwa mama mmoja ambaye alikuwa na watoto 4.Familia yake  ilizoea kuishi maisha ya hali ya juu sana.Walikuwa wanaishi katika jumba kubwa la kifahari,wana magari ya kifahari na walikuwa kila wakati wanaenda kufanya manunuzi ya vitu katika maduka makubwa sana nchini Marekani.Bila kujua kuwa pamoja na kumiliki biashara Read more

Mambo 5 Ya Kuachanayo Ili ufanikiwe 2017

 

Ninaamini kuwa huu utakuwa mwaka mzuri sana katika maisha yako na utafanikiwa katika mambo mengi ambayo unakusudia kuyafanya kama utazingatia mambo ya msingi ambayo utajifunza leo.Mara nyingi mwaka unapoanza kila mtu huwa anakuwa na hamasa ya kufanya jambo kubwa katika maisha yake na watu huwa na orodha kubwa na nzuri ya mambo gani ambayo wanakusudia kuyafanya aktika mwaka.Kila mtu ifikapo januarya anaona kuna uwezekano mkubwa wa kufanikiwa na kutimiza malengo Read more

Vijue Vikwazo Vinavyozuia Kufanikiwa Kwako.

businessmanrollingstone-32avrs4foyzjjhtpg5emtm

Ili uweze kufanikiwa katika malengo yako ni lazima kila wakati utumie muda kujikagua kuona kama kweli uko katika muelekeo wa mafanikio ama kuna mambo ambayo yanakuzuia kuendelea mbele.Ukishayagundua unatakiwa kuyazingatia kwa haraka sana bila kuchelewa.Mambo yanayochelewesha mafanikio yamegawanyika katika makundi makubwa mawili-Moja ni yale ambaye yanatokana na wengine na pili ni yale ambayo yanatokana na wewe mwenyewe. Read more

SIRI TATU TOKA KWA DEBBIE ZINAZOWEZA KUKUFANYA UTIMIZE MALENGO YAKO.

secret

Ili ufanikiwe unahitaji kuwa na mjumuiko wa sifa nyingi sana ambazo zote zinachangia kukusaidia kutimiza malengo yako.Hata hivyo kati ya sifa kuu unazotakiwa kuwa nazo,mojawapo ni ile ya uwezo wa kuiamini ndoto yako na kuamua kuvumilia kuifuatilia kwa muda mrefu hadi itakapofika kipindi ambacho umepata matokeo ambayo unayataka.Norman Vincent Peale aliwahi kusema,”It is always too soon to quit” (Kila wakati amua kutokata tamaa mapema).Kati ya sifa ambayo unatakiwa kuwa nayo katika maisha yako ni kuiamini ndoto yako katika wakati ambapo mazingira yanaonyesha unatakiwa usiiamini. Read more

Hawa Ndio Wezi Wa Ndoto Yako:Uwe Tayari Kuwakabili

Masked-Robbery

Siku moja mwalimu mmoja wa secondary(high school) alitoa zoezi kwa wanafunzi wake na aliwaambia waandike watapenda kufanya kitu gani watakapokuwa wakubwa katika maisha yao.Wengi waliandika vitu mbalimbali,lakini kati yao alikuwepo mwanafunzi mmoja kwa jina la Monty Roberts ambaye yeye aliandika kuwa angependa aje kumiliki shamba la hekari 200 lenye ranchi ndani yake ambalo pia angelitumia kufundishia watu wengine mambo mbalimbali kuhusu farasi.

Baada ya mwalimu kusahihisha mitihani,Mr.Monty alipata F na alipomuuliza mwalimu kwa nini amepata maksi hiyo alimwambia kuwa Read more