+ Jnanauka | home

Unajua Una Kitu Cha Tofauti Kinachotafutwa Duniani?

.
Moja ya mtaji mkubwa ulionao kwenye maisha ni Upekee wako.Tatizo la wengi ni kuwa wanazaliwa hadi wanakufa hawajajua Kitu cha pekee walichonacho.
.
Kwenye kitabu chao cha “Now,Discover Your Strength”(Sasa,Gundua nguvu yako) waandishi Marcus Buckingham na Donald ....learn more

Antony Kikoti
2 days ago
Top View
Mambo 3 Yaliyomsaidia Manny Khoshbin Kutoka Kulala Nje Hadi Kuwa Na Biashara Zake

Manny Khoshbin ni mmoja kati ya watu wengi sana ambao wameanzia chini kabisa katika masiha yao na leo wamefika hatua nzuri.Aliingia marekani akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kukimbia kutoka katika nchi yake ya Irani ambako kulikuwa na machafuko makubwa sana.

Adui Wa 7:Kukosa Utayari Wa Kuanza Upya

Manny Khoshbin ni mmoja kati ya watu wengi sana ambao wameanzia chini kabisa katika masiha yao na leo wamefika hatua nzuri.Aliingia marekani akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kukimbia kutoka katika nchi yake ya Irani ambako kulikuwa na machafuko makubwa sana.

Want the inside scoop

JOIN THE COMMUNITY

Copyrigh © 2018  JOEL NANAUKA   All Rights Reserved