Navigate / search

Jinsi Ya Kutoka Kwenye Madeni

Mwezi Februari mwaka 2008 katika kipindi cha mtangazaji maarufu sana Oprah Winfrey alihojiwa mama mmoja ambaye alikuwa na watoto 4.Familia yake  ilizoea kuishi maisha ya hali ya juu sana.Walikuwa wanaishi katika jumba kubwa la kifahari,wana magari ya kifahari na walikuwa kila wakati wanaenda kufanya manunuzi ya vitu katika maduka makubwa sana nchini Marekani.Bila kujua kuwa pamoja na kumiliki biashara Read more

Mambo 5 Ya Kuachanayo Ili ufanikiwe 2017

 

Ninaamini kuwa huu utakuwa mwaka mzuri sana katika maisha yako na utafanikiwa katika mambo mengi ambayo unakusudia kuyafanya kama utazingatia mambo ya msingi ambayo utajifunza leo.Mara nyingi mwaka unapoanza kila mtu huwa anakuwa na hamasa ya kufanya jambo kubwa katika maisha yake na watu huwa na orodha kubwa na nzuri ya mambo gani ambayo wanakusudia kuyafanya aktika mwaka.Kila mtu ifikapo januarya anaona kuna uwezekano mkubwa wa kufanikiwa na kutimiza malengo Read more