Navigate / search

Mambo 3 Ya Kukusaidia Kushinda Dhahabu maishani

337DF77900000578-0-image-a-53_1461496953407

Akiwa amebakiza maili 23 kabla ya kumaliza katika mstari wa mwisho,Jemima Sumgong alianguka na akajigonga kichwa chake chini na akapata maumivu makalim sana.Umbali uliokuwa umebakia ulikuwa ni mdogo sana kuweza kuleta tofauti yoyote kwa wakati huo.Wenzake ilionekana kama wanaongeza nguvu Zaidi na kumuacha kwa umbali mkubwa Zaidi,lakini hata hivyo Jemima aliamua kuinuka huku akiugulia maumivu na akaendelea na mbio kuwafukuza wenzake waliotangulia.

Unajua kilchotokea?Mwisho wa mbio zile Jemima alifanikiwa kumaliza kwa muda wa masaa2 dakika 22 na sekunde 58 akimshinda bingwa mtetezi wa mwaka uliopita (2015) Tufa na akajichukulia medali ya dhahabu katika mashindano ya mbio ndefu ya London.

Kuna mambo makubwa matatu Jemima anatufundisha: Read more

Use Your Words To Create Your Good Experience Today

people

Proverbs 18:21 KJV
DEATH and LIFE are in the POWER of the TONGUE : and they that love it shall EAT the FRUIT thereof.

Whaat?

This is the most powerful revelation you can ever have from God’s word.Your tongue has been bestowed with the power to “kill” or make “alive”.

Many people not knowing this have recklessly used their tongue and their words have worked against them. Read more

Buster Douglas:Kama Nilimshinda Tyson,Nawe Tumia Mbinu Hizi Utimize Ndoto Zako.

Mike Tyson is knocked out by challenger James "Buster" Douglas (2nd R) during their heavyweight title bout in Tokyo in this photo taken by Kyodo February 11, 1990. Mandatory Credit REUTERS/Kyodo (JAPAN) ATTENTION EDITORS - THIS IMAGE HAS BEEN SUPPLIED BY A THIRD PARTY. FOR EDITORIAL USE ONLY. NOT FOR SALE FOR MARKETING OR ADVERTISING CAMPAIGNS. MANDATORY CREDIT. JAPAN OUT. NO COMMERCIAL OR EDITORIAL SALES IN JAPAN. THIS PICTURE IS DISTRIBUTED EXACTLY AS RECEIVED BY REUTERS, AS A SERVICE TO CLIENTS - RTR4O5AX
Mike Tyson is knocked out by challenger James “Buster” Douglas (2nd R) during their heavyweight title bout in Tokyo in this photo taken by Kyodo February 11, 1990.

Tarehe 11 February 1990 Katika jiji la Tokyo,Japan kulitokea tukio ambalo lilijenga historia duniani.Hii ilitokana na pambano kubwa la masumbwi lililofanyika kati ya Mike Tyson na Buster Douglas.Wakati pambano hili linafanyika Tyson alikuwa ni bondia wa kuogopwa na wa kutisha ambaye alikuwa akishinda kwa KO katika kila pambano lake lililopita,hivyo kila mtu hakuwa na shaka kuwa Tyson angeibuka mshindi kabla raundi tatu hazijamalizika kama iilvyokuwa kawaida yake.

Mara baada ya kuanza pambano Read more

Top 10 qualities of Highly Succesful People

index

If you really want to bring success into your life, you should cultivate yourself just as you’d cultivate a garden for the best yield.

The attributes here are shared by successful people everywhere, but they don’t happen by accident or luck. They originate in habits, built a day at a time.

Remember: If you live your life as most people do, you will get what most people get. If you settle, you will get a settled life. If you give yourself your best, every day, your best will give back to you.

Here are the traits that the highly successful cultivate. How many do you have? Read more

Sakata la Lugumi:Zitto Amtuhumu Waziri Kitwanga Kulipa Watu Fedha Kumchafua

maxresdefault

Kumekuwa na maneno yanasemwa na mimi kupuuza katika kipindi cha wiki kadhaa; kwamba ninapanga kumhujumu Rais Magufuli katika kazi zake. Maneno haya yanaenezwa na watu wanaotumwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Bwana Charles Kitwanga ( nina ushahidi usio na mashaka wa Kitwanga kupanga vijana wa wanaojiita wa UVCCM kufanya mikutano na waandishi wa habari na anawalipa fedha kufanya hivyo. Nataka ifahamike bila chenga kama ifuatavyo: Read more

Siri Ya Kutimiza Ndoto Yako Toka Kwa Arnold Swarzenegger

arnie-edit-xlarge

Mwaka 1976 Arnold Schwarzenegger hakuwa mtu Maarufu kama alivyo sasa.Siku moja mwandishi wa habari wa gazeti la Tucson Citizen anayeandika habari za michezo,Steve Chandler alipata nafasi ya kukutana na kufanya mahojiano na Arnold katika hotel ya Double Tree Inn Tucson iliyoko Arizona.Steve anasema siku hiyo hakuna mtu alikuwa anamtambua Arnold pale kwenye mgahawa walipokutana kwani hakuwa maarufu kabisa.
Arnold alikuwa katika mji wa Arizona akiitangaza movie mpya ya Stay Hungry,hii ni baada ya kufanya vibaya sana katika movie zilizotangulia za Jeff Bridges na Sally Field.

Kati ya Maswali ambayo Steve alimuuliza Arnold ni”Sasa kwa kuwa umestaafu kuwa mtunisha misuli,unapanga kufanya nini tena?”Akiwa mtulivu Arnold alijibu Read more

Mind Your Words:They Affect Your Daily Experience

images 2

Daniel 10:12 KJV
Then said he unto me, Fear not, Daniel: for from the first day that thou didst set thine heart to understand, and to chasten thyself before thy God, YOUR WORDS were heard, and I AM COME for YOUR WORDS.

Glory to God!
God responds to our WORDS everytime we speak.Every positive word aligned with the Bible attracts God to intervene our situation.Every negative word invites the devil to make it true in your life.

From the Above Scripture we get to understand that every word we speak matters in the presence of God.Today,you can choose to speak words that will invite God in all of your affairs without fail.

Before you start your day: Read more

Vitu viwili Vinavyowafanya Watu Wafanikiwe Kwa Haraka

social-media-business-success-stories

H.L Hunt alijulikana kama mfanyabiashara amkubwa sana marekani na aliyefanikiwa katika maisha yake.Kuna wakati alishawahi kutajwa kama tajiri mkubwa wa wakati huo.Bwana Hunt alikuwa anamiliki makampuni Zaidi ya mia mbili aliyokuwa anayaendesha.

Siku moja akiwa anahojiwa na kipindi cha redio akaulizwa swali la muhimu sana:”Bwana Hunt,hebu tueleze siri ya mfanikio yako”.Akasema mafanikio yake yamejengwa katika Read more