Navigate / search

Hakuna Mafanikio Hadi Upate Majibu Ya Maswali Haya Mawili

images

Kuna maswali mawili muhimu sana katika maisha ambayo lazima kila mtu awe na majibu nayo,ukikosa majibu yake ni kizuizi tosha katika kuelekekea mafanikio yako.Maswali haya mawili yamekuwa ndio mwongozo kwa kila aliyefanikiwa maishani katika kila kile anachofanya.Baadhi ya watu hawayajui kabisa lakini baadhi huyajua ila hawako tayari kutumia muda wao kuyafanyia kazi katika kuyatafutia majibu yake. Read more

Mbinu 7 Za Namna Ya Kufikiri Ambazo Waliofanikiwa Huzitumia

 

President Barack Obama sits at his desk in the  Oval Office during a phone call with Chinese President Hu Jintao May 6, 2009. Official White House Photo by Pete Souza.  This official White House photograph is being made available for publication by news organizations and/or for personal use printing by the subject(s) of the photograph. The photograph may not be manipulated in any way or used in materials, advertisements, products, or promotions that in any way suggest approval or endorsement of the President, the First Family, or the White House.

Kitabu cha Badilisha unavyofikiria ili ubadilishe unavyoishi(Change your thinking,change your living) ni kitabu kizurI sana kinachobadilisha mtazamo.Karibu kila sura ya Kurasa hii ina vitu vizuri,kwa kuzingatia ukubwa wa kitabu hiki(Kurasa 290) ambacho ni kati ya vitabu vitatu nilivyosoma kwa mwezi wa pili,nimefurahishwa sana na namna saba ambazo watu waliofanikiwa wanavyofikiri katika sura ya mwisho ya kitabu hiki.

Ningependa nikushirikishe kwa kifupi ili ujipe na ujue kama nawe unaelekea katika mwelekea huo ama la: Read more

Mambo 2 Ya Kufanya Ili kuifanya Ndoto Yako Kuwa Kweli

528926652_154

Ili kuvuka kutoka hatua moja ya maisha yako na kuingia katika hatua nyingine kubwa katika maisha ,jambo moja wapo unalohitaji kuwa nalo ni utayari wa kujaribu kufanya.Nimeshawahi kukutana na watu wengi sana ambao kila siku wana mawazo mapya tena ni mawazo mazuri sana ila tatizo lao ni kuwa huwa hawachukui hatua kabisa.

Pengine hata wewe unaposoma ujumbe huu leo,una mawazo mengi sana tena makubwa na ambayo yakifanikiwa basi utabadilisha maisha yako kwa kiwango kikubwa sana.Jambo la Kujiuliza ni kwa nini watu wengi huwa hawafanikiwi katika kutekeleza mawazo yao.Kuna sababu 2 ambazo ukiweza kuzikabili basi wewe hautakuwa mmoja wa wanaoshindwa kuchukua hatua. Read more

Njia 3 Za Kukufanya Uibuke Mshindi Kwenye Kila Changamoto

MANCHESTER, UNITED KINGDOM - MARCH 14: Bradley Pryce lies on the canvas after being defeated by Matthew Hall during the Commonwealth Light Middleweight Championship fight between Bradley Pryce of Wales and Matthew Hall of England at the MEN Arena on March 14, 2009 in Manchester, England. (Photo by Alex Livesey/Getty Images)

Watu wengi sana wamefanya utafiti namna hamasa(motivation) zinavyoweza kumsaidia mtu kufikia malengo yake Kwenye maisha.Ila hakuna ambaye aliyewahi kufanya utafiti kuhusianisha kushindwa kwa mtu na mafanikio yake. Hii ndio maana Dr.Abraham zaleznik wa chuo kikuu cha Harvard aliamua kufanya utafiti huo ili kugundua kama kuna uhusiano wowote katika ya kushindwa Kwenye maisha na mafanikio ya mtu.

Utafiti wa Dr.Abraham uligundua Read more

Ili Usonge Mbele Lazima Uamue Kutoangalia Nyuma

look-forward-beach

Moja ya kitu kigumu katika maisha ni kusahau mambo magumu na mabaya ya nyuma,ni kama vile akili inapenda sana kukumbusha kila wakati mambo tusiyopenda kuyafikiria:Ulivyofeli,Ulivyokataliwa,ulivyoshindwa kutimiza ndoto zako,ulivyoumizwa na mtu uliyempenda sana,ulivyofanyiwa ubaya na mtu usiyemtarajia kabisa n.k

Katika kupitia historia za watu waliofanikiwa nimegundua kuwa Read more

Utafiti:Ukifanya mambo haya 2 Kila Siku,Utafanikiwa Kwa Haraka

Cristiano-Ronaldo

Miaka mingi huko nyuma taasisi moja ya Marekani inayoitwa Gallop iliwafanyia Usahili watu 1500 wake kwa waume waliofanikiwa ili kugundua siri ya mafanikio yao.

Kati ya maswali waliyowauliza mojawapo lilikuwa kueleza mtu mwenye akili nyingi ni mtu wa namna gani(Highly intelligent person) ? Majibu yaliyotarajiwa kutoka na tafiti zilizopita ingekuwa ni mtu aliyefaulu vizuri sana katika masomo yake ya shuleni ama mtu mwenye IQ kubwa.lakini utafiti huu ulileta uvumbuzi mpya kwani wengi wao walieleza mtu mwenye akili nyingi kwa tafsiri mbili : Read more

3 Money Habits That Separate the Rich From the Poor

Sao-Paulo-Favela

Here is an exciting thought! Why not work full time on your job and part time on your fortune? And what a feeling you’ll have when you can honestly say, “I’m working to become wealthy. I’m not just working to pay my bills.” When you have a wealth plan, you’ll be so motivated that you’ll have a hard time going to bed at night.

So if you will indulge me, I would like to share a simple formula for creating wealth. Here’s my thought on how money should be allocated Read more

Njia 2 Za Kuhakikisha Hakuna Anayekuzuia Kutimiza Ndoto Zako

1

Jeff Nelson katika kitabu chake cha “The Slight edge” anasema kuwa maisha yetu(kifedha,kiwango cha furaha,idadi ya furs tunzopata etc) ni wastani wa maisha ya watu 6 wanaotuzunguka kila wakati,watu wa karibu yetu.Hii inamaanisha hatima yetu inategemea sana tunaambatana na watu wa namna gani(Our destination is determined by our association).Maana yake ni kuwa mafanikio yetu katika maeneo mbalimbali yanachangiwa na watu tulioamua kuwaweka karibu katika maisha yetu ya kila siku.

Ili kuweza kufanikiwa ni lazima Read more