Navigate / search

Green Guard,Blue Guard,Red Brigade vinataka kufanana na Imbonerakure

Green Guard

Picha ya Green Guard kwenye Gwaride

Jaji Francis Mutungi,msajili wa vyama vya siasaTanzania Pamoja na mkuu wa jeshi la Polisi,Ernest Mangu wamekutana na upinzani kutoka kwa vyama vya siasa kuhusiana na kupiga marufuku vikundi vya ulinzi vinavyoendelea kuimarika katika vyama hivyo na kuhatarisha amani hasa kuelekea katika uchaguzi mkuu.Akijibu Tuhuma hizo Naibu katibu mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alisema kuwa vijana wa Green Guard wanapewa mafunzo ya ukakamavu na uzalendo na hawapewi kabisa mafunzo ya kijeshi.

DSC_0037

Picha ya wahitimu wa Red Brigade wakila Kiapo

Kwa upande wake mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akihutubia mkutano wa hadhara Nzega alisema kuwa hawako tayari kuacha kuwafundisha Blue Guard wao kwani katika nyakati za nyuma vijana wa CCM wa Green Guard waliwavamia na kuwadhuru na Polisi walishindwa kuwasaidia,hivyo wameamua kutengeneza ulinzi wao wenyewe.

Kwa sasa ninafahamu kuna vyama vinne ambavyo katiba zao zinaruhusu Read more

Thomas Sankara:How he made Burkina Faso Economically Independent

index

A Tanzania Struggles to find the way into economic independence with the current 34% budget dependence on donors,we have quite number of lessons to take from a man who led dramatic changes in His country in his 4 year of reign,he became the president at the age of 33 and His positive social and economical impact was greatly undeniable.This strong lesson being,not how long someone stays in power but rather with what vision and passion does he executes his leadership responsibilities. Thomas Sankara was Burkina Faso’s president from August 1983 until his assassination on October 15, 1987. Perhaps, more than any other African president in living memory, Thomas Sankara, in four years, transformed Burkina Faso from a poor country, dependent on aid, to an economically independent and socially progressive nation. Thomas Sankara began by Read more

Br.Gr Hashim Mbita:Hero of the Liberation struggle in Africa

Copy of Hayati Hashim Mbita

Hashim Mbita stood tall as a hero of the liberation struggle in Africa, and he was widely respected for his principles and dedication.His life touched every person who lives in the region, whether they know that or not.He died in Dar es Salaam, age 81, on Union Day, 26 April, the date that Tanganyika and Zanzibar were united in 1964 to create the United Republic of Tanzania. Unity is the message left behind. He was a proud Tanzanian who became Read more

Oscar Kambona:Alimkaribisha Nyerere kwenye chumba chake Chuoni Uingereza

JFKWHP-AR8028-A

Oscar Kambona alipokuwa waziri wa mambo nje wa Tangayika akiwa na kiongozi wa PeaceCorps

Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma. Alikuwa mtoto wa marehemu Rev. David Kambona na Bibi Miriam Kambona. Rev. Kambona alikuwa ni miongoni mwa waafrika wa kwanza kupata upadre katika kanisa la Anglikana la Tanganyika. Wakati Oscar Kambona akiwa mdogo, baba yake alikuwa akimweleza kuhusu ndoto zake juu ya uhuru wa nchi yake, hivyo Oscar alikuwa akiwa na hamu sana ya kuitumikia nchi yake. Oscar alipate elimu ya msingi nyumbani kwao, chini ya mwembe (ambao bado upo), katika kijiji chao kwa kuwatumia wazazi wake wote wawili na mjomba wake, ambao wote walikuwa walimu. Baada ya hapo alipelekwa shule ya kati ya Mt. Barnabas, Liuli, na baadaye shule ya Sekondari ya Alliance, ambako alilipiwa ada na Askofu mzungu wa Anglikana kwa vile baba yake hakuweza kumudu kulipa ada ya paundi 30 kwa mwaka.

Oscar alikuwa akisimulia jinsi alivyoweza kumshawishi Askofu huyo amlipie ada kwa kusema Read more

Tujikumbushe Kashfa ya Kagoda kuchota bilioni 40 BOT

bunge

UTATA unazidi kugubika ilipo na anayemiliki kampuni ya Kagoda Agricultural Limited (KAL) ambayo inatajwa kuchota kiasi cha Dola za Marekani 30,732,658.82 (zaidi ya Sh Bilioni 40) kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika akaunti ya Madeni ya Nje (EPA).Uchunguzi wa muda mrefu wa waandishi wa habari na hata wa makachero kuhusu mmiliki halisi wa kampuni hiyo na zilipo ofisi zake, unaelekea kugonga mwamba. Read more

Part II book review:6 Lessons from the book Rich Dad,Poor Dad

richdad-poordad-expense-income-assets2

With these main lessons in mind, one can walk towards the path of success. It just takes personal initiative to further develop the financial knowledge and management skills necessary for success. As Rich Dad, Poor Dad shows, higher education or a great job doesn’t guarantee success but rather the skills and knowledge you are able to apply with your income separates the lower and middle class from the wealthy. Read more

Book Review:6 Lessons from the book Rich Dad,Poor Dad

rich-dad-poor-dad-robert-kiyosaki
There are simply key financial terms someone would need to understand;Asset is something that puts money into your pocket;Liability is anything that takes money from your pocket

As many high school students make their college decisions, the debate continues on the link between higher education and future success. While colleges may enable students to pursue rewarding careers, many graduates may still lack the financial literacy and knowledge to develop wealth. As author, Robert Kiyosaki, describes in his book Rich Dad, Poor Dad, higher education and a job don’t guarantee wealth. It’s the application of financial knowledge, which separates the wealthy from the lower class.

Robert Kiyosaki compares two case studies of financial knowledge through his two “dads”. The first being his Poor dad, his biological father who was a well-educated, highly paid government official and the other being his Rich dad, a close mentor who owned a successful business despite only having an 8th grade education Read more

3 Things your should say NO to them everyday

images
Remember that,not everything that comes on your way is for your consumption

Your key to success is not in only doing what will take you one step ahead but also in stopping doing in the things that will pull you backward. If you learn to take control of what goes on in your life you will discover the undisputable truth that in every day you will be faced with choices of either to do something or not to do it at all. One of the things that you will need to do improve your chances of success is your ability to say NO to yourself.

The truth is, there are moments you will need to deny yourself some of the things just to be able to do other more important things towards your journey of greatness. Many are times we are tempted to entertain ourselves before we have accomplished anything in the day. Learn to say no to this behavior. I have identified 3 things that you would need Read more

Jina Tanzania lilipatikanaje?

IMG-20150426-WA0059

 Mohamed Iqbal Dar ni mtanzania mwenye asili ya kiasia. Mzaliwa wa Tabora ambaye kwa sasa anaishi katika jiji la Burmingham nchini Uingereza.Huyu ndiye aliyebuni jina TANZANIA ambalo ndilo linatumika hadi leo likimaanisha Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Ni bahati mbaya historia kumuhusu mtu huyu haitajwi na wala kufundishwa mahala popote lakini ukweli Read more